Catherine Mdachi

Catherine Mdachi

Hebu fikiria mtumishi, Mch Michael Peter ameniongoza katika maombi yaliyonichukua miaka kumi, nikampata mtoto, niliona sasa limeondoka tatizo, na baadaye mtoto huyo Mungu akampenda zaidi, lakini kumbe ndio mlima uliinuka zaidi na kuambiwa kila wakati na washirika wenzangu, “Mtazame Bwana!”

Anyone can see this photo All rights reserved

Uploaded on Mar 23, 2011

1 comment

Mchikichi sehemu ya chini

Mchikichi sehemu ya chini

Mkoani Kigoma, mti huu wa matunda hupatikana sehemu za Rwiche (ni kituo cha mwisho unaingia mjini Kigoma kwa njia ya treni) Na nchini Burundi umestawi kwa wingi maeneo ya Ziwa Nyanza. Na pia nchini Malasia ni wakulima wazuri wa michikichi

Anyone can see this photo All rights reserved

Uploaded on Feb 4, 2011

0 comments

mchikichi

mchikichi

Wakati mti wa mnazi walilipwa shilingi themanini (Tsh 80.00) wakazi waliohamishwa maeneo ya Kipawa kupisha ujenzi wa Airport, waliopanda mti wa mchikichi walilipwa shilingi laki tatu (Tsh 300, 000.00) kwa kila mti.

Anyone can see this photo All rights reserved

Uploaded on Feb 4, 2011

0 comments

100_6132i

100_6132i

Kwa mujibu wa mkulima mmoja mwenye kuujua mti huu vizuri, anasema “watengenezaji wa mafuta ya korie hutumia dawa fulani nyeupe na kuyafanya mafuta haya yabakie kuwa na rangi ya pink”

Anyone can see this photo All rights reserved

Uploaded on Feb 4, 2011

0 comments

Mbegu

Mbegu

Mbegu zilizobaki baada ya kupikwa na kupata mafuta ya kupikia (mawese) inauza kwa sh 500 kwa kilo

Anyone can see this photo All rights reserved

Uploaded on Feb 4, 2011

0 comments

← prev 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12
(186 items)
Subscribe to a feed of stuff on this page... Subscribe to FAMILIA YA WAPO's photostream – Latest | geoFeed | KML